Huyu Ni Mtu Aliyeacha Kuishi Kama Mtu Na Kuishi Kama Mbuzi
Huyu ni mtu ambae amechoka kuishi kama mtu akaamua akaishivna mbuzi kwenye milima, Thomas Thwaites alitumia siku tatu akiwa kama kiongozi wa mbuzi katika milima ya Swiss huku akichunguza tabia za mbuzi. Alitumia miguu maakum ilimuwezesha kutembea kwa miguu yote minne kurahisi, pia alitengenezewa tumbo la uongo ili aweze kula... Read More →