Ndoa ya Whity Chali
Msanii anayefanya vizuri sana kupitia muziki wa bongo fleva Whitness hivi majuzi alitoa kauli hii juu ya yeye kuolewa ”Hi,I want to tell every one kwamba am no longer married to Mokeys.I wanted you to know from me and please don’t asky why.Much Love”. Hapo inamaanisha kuwa hakuna ndoa tena... Read More →
