Iggy Azalea anaonekana kwenye video akibishana na paparazzo nje ya supermarket huko Los Angeles. Akiongeza list ya mastaa wengine katika uzoefu wa kukutana na paparazzi ambae alipenda kumfuatilia, Iggy Azalea alichuliwa video wikiendi iliyoisha akigombana na mpiga picha alikuwa akijaribu kumpiga picha kwenye supermarket huko L.A. Video inaanza ikimuonyesha paparazzi... Read More →
Polisi nchini Marekani wamemtambua mtu anayetuhumiwa kumpiga risasi former C.E.O wa Death Row Records mkali SUge Knight, lakini hawana ushahidi wa kutosha ambao unawafanya wamkamate bado wanakusanya ushahidi zaidi.Suge Knight alijeruhiwa na risasi katika club ya usiku huko magharibi mwa Hollwood California kipindi cha Summer taarifa za TMZ zimeeeleza. Polisi... Read More →
Wanandoa hao walimchukua binti yao Blue Ivy kwenda Louvre na wakapiga picha mbele ya artwork moja kama Leonardo da Vinci “Mona Lisa” Wawili hao walitembelea makumbusho ya Louvre mapema wiki iliyoisha wakiwa wenyewe kwenye tour yao hiyo huko Paris, Beyonce alipost picha kwenye mitandao ya kijamii kushare na mashabiki wake... Read More →
Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya mda mrefu. Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo fulani katika dawa hiyo inayotumiwa kukabiliana na ukosefu wa nguvu za kiume,huathiri uwezo wa kuona miongoni mwa wanaume ambao wana ugonjwa wa macho. Kulingana na... Read More →
Shindano la kumtafuta Redds Miss Tanzania limefanyika usiku wa Jumamosi 11 Oktoba 2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Shindano hilo Ndugu Hashim Lundenga alimtangaza Sitti Mtemvu mshiriki kutoka Temeke kuwa ndiye Redds Miss Tanzania 2014, nafasi ya pili ilichukuliwa na Lilian Kamazima na nfasi... Read More →
Band inayofanya vizuri hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki Sky Light Band ilisafriki kuelekea nchini Oman kwa ajili ya kufanya show iliyofanyika siku ya Eid Jumapili 5 Oktoba 2014, show ilifanyika katika Ukumbi wa Ras Al Harma Reaction Center kwa mafanikio makubwa. Band hiyo imerejea jijini Dar es salaam siku... Read More →
Mwananchi mmoja ambae alikuwa abiria ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika alikuwa kisafiri kwenda nchini Jamuhuri ya Diminican alitolewa nje yanndege baada ya kupiga chafya huku akitania anatokea Afrika. Maelezo yake hayo yalisababisha hofu ya ugonjwa Ebola kati ya abiria na wafanyakazi wa ndege na ksabababisha mamlaka kuisimamisha ndege kwa... Read More →
Kim Kardashian amepost picha nzuri ya mtoto wake na North wakiwa pamoja, ikimuonesha Kim K alipokuwa mtoto, pembeni ya post ameandika “Mini Me”, wengi wa mashabiki wake wamesema hapana, North anafanana na baba yake Kanye West zaidi kulliko yeye!! Wewe unaonaje? Comments
Habari njema kwa wapenda burudani wote Afrika Mashariki, Nani hamjui Rabbit aka Kaka Sungura? Au nani hamjui Rich Mavoko? Kama huwajui, toka porini uje uanze kuishi na watu wanajua mambo yanayoendelea mjini. Rabbit na Rich Mavoko ni majina mawili makubwa sana katika kiwanda cha muziki wa Afrika Mashariki na muziki... Read More →
Mwanzoni tulishazungumza hapa hapa kupitia Under Cover stories kwamba rumors has it kwamba Lil Wayne anatoka na Christina Milian, lakini Wayne alikanusha na kusema wako kikazi tu na kwamba amemsaini Young Money it was job!! Seller is later to not, and http://pharmacyin-canada.com/ a experience. This not tend. Too. Makes Fragrance... Read More →
Mkali Bebe Cool ambae alikuwa na beef kali na msanii mwenzake Bobi Wine siku zinavyozidi mambo yanazidi kupoa na kutimiza usemi wagombanao ndio wapatanao. Juzi kati Bebe Cool aliimba nyimbo tatu za Bobi Wine kwenye tamasha lililopewa jina la Kampala Carnival na watu wengi walishagaa imekuwaje!! Milioni 20 za Kiganda... Read More →