TMT Movie Kuleta Mapinduzi Makubwa Bongo ILE Filamu

ILE Filamu kubwa kabisa kutengenezwa katika viunga vya Tanzania ya Tmt movie imeanza maandalizi yake kwa kurekodi filamu mpya huku wasanii waliopatikana kutokana na shindano la Tanzania Movie Talent kuibeba sinema hiyo wakiwashirikisha wasanii wengine waliochaguliwa katika sinema hiyo. Akiongea na FC mratibu wa filamu hiyo Staford Kihore amesema... Read More →