Amber Rose Ataka Talaka Kutoka Kwa Wiz Khalifa

Amber Rose ameomba talaka kutoka kwa mume wake Boss wa Taylor Gang mkali Wiz Khalifa kwa sababu ameshawishiwa kwamba Wiz Khalifa amekuwa akimdanganya mara kwa mara kwa miezi kadha iliyopita, amekua akitoa sababu ambazo haziingi kichwani. TMZ imeweka mambo hadharani baada kuona makaratasi Jumatano ambayo yanaonyesha Amber Rose akitaka... Read More →