Michelle Williams Hajafurahishwa Na Nafasi Yake Kuchukuliwa Na Michelle Obama Kwenye Picha Ya Destiny Child
MTV walishare hii picha ya Destiny Child, shida ikawa ni kwamba walimuweka Michelle Obama kuchukua nafasi ya Michelle Obama. Alipost picha hiyo tena akasema aangalia ujinga uliingia 2016..Jinsi gani inasikitisha! Angalia jinsi alivyowajibu…. Comments