Albamu Zinazoongoza Kwa Mauzo Wiki Hii

Wiki hii mkali Boss Taylor Gang Wiz Khalifa ameshika namba moja kwenye chart za Billboard katika Top 200 albums chart na albamu yake ya Blacc Hollywood, wakati huo huo Iggy Azalea ameendelea kutesa na The New Classic na kuelekea mafanikio kama Beyonce amepanda hadi namba 45 na self-tittle project. Wiz... Read More →