Tiny Asema Tumaini Lipo La Kumaliza Tofauti Zao Na Mayweather
Tiny aliulizwa kama akaipata nafasi ya kumaliza tofauti yake na Mayweather, Tiny alisema ndio kuna tumaini tarifa ya TMZ zimeeleza Tiny na T.I na Mayweather walihusishwa katika ugomvi unaoendelea ambao ulihusisha na Mayweather, baada ya Tiny kumtukana Floyd katika red carpet ya BET mwaka huu na baadae Mayweather akiongea na... Read More →
