Diamond Kusherehekea Siku Ya kuzaliwa Ya Mama Yake Mzazi Kwa Kuzindua Video Mbili Siku Ya 77

Diamond Plats Msanii Anayeng’ara zaidi kwa wakati huu katika muziki Wa Tanzania (bongo Flavour) ameandika kupitia Ukurasa Wake Wa InstaGram Kuwa Atasherehekea Siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi tarehe 7/7 kwa kuzindua Video mbili kwa mpigo Diamond Hakutaja Ni Video Gani Atazindua lakini amatumia fursa hiyo kuwasihi mashabiki wake... Read More →