Mwaka Wa Fedha Wa 2013/04 Serekali Imetenga Shilingi Bilioni Moja Kwa Ajili Ya Chanjo ya Homa Ya Ini

Katika mwaka wa fedha wa 2013/14 serikali imetenga Shilingi bilioni 1 kwa ajili ya chanjo ya homa ya ini pamoja na huduma za uzazi wa mpango, kiwango ambacho kinatajwa kutokidhi mahitaji ya huduma hizo. Hali hiyo inawafanya wadau wa uzazi wa mpango kuamini kuwa Serikali bado haijaweka kipaumbele kwa suala... Read More →