Rapper 50cent Asema Mama Wa Mtoto Wake Ndio Chanzo Cha Habari Za Yeye Kutohudhuria Mahafali Ya Mwanae Kusambaa…. Aleza Sababu

Wiki Moja bada Ya Rapper 50 cent kulaumiwa kwa kutohudhuria Sherehe Za Mahalafali Ya Kuhitimu masomo ya high School ya kijana wake Rapper Huyo Amezungumza 50Cent amesems yote yasingetokea kama si mama wa mtoto wake kupeleka habari hizo katika mtanzao wa TMZ Hata hivyo Rapper Huyo Amesema anasababu za muhimu... Read More →