Kwamujibu wa mtandao wa Us Weekly, Reality Star Kourtney Kardashian na mpenzi wake wa siku nyingi Scott Disick wanatarajia ujio wa mtoto mwingine ambaye atakuwa ni watatu kwenye uzao wao
Hii itakuwa ni chini ya miaka miwili tangu wapate mtoto wao wa pili
“Anaonekana kuwa na miezi michache ijayo kabla ya deliver na inavyoonekana ilipangwa.
Inavyoonekana Koirtney anataka kuwa kama mama yake mwenye uzao wa watoto wengi” chanzo hicho kilisema
Wapenzi Hao Tayari wana mtoto mkubwa wa kiume Mason na mwingine wa miaka miwili Penelope japo hawana mpango wa kuoana kwa mujibu wa Koirtney ambaye mara zote amekuwa akisema haamini swala la ndoa