Pamoja Na mvua kubwa iliyonyesha wakati wa Tamasha kubwa La Chameleon Jose “Tubonge Live” lililofanyika week end hii limeweka historia baada ya washabiki kutojali mvua na kukubali kutota maji wakati wote wa how hiyo
kwa Chameleone kwake amaesema ya kuwa mvua hiyo ni kama Baraka toka kwa mungu wkati wa show yake lakini pia Ameanika kwa kusema hiyo ni HISTORIA ambayo Haijawahi jitokeza
Imefika wakati kwa wasanii wetu nao kujiandalia matamasha yao wenyewe bila kusubiri mapromota au kampuni kubwa za biashara.