
Tazama mapicha hapa ya Cocktail Party ya Africa Magic Views Choice Award (AMVCA) iliyofanyika katika hotel ya Eko, Victoria Island huko Lagos ijumaa ya 7thMarch ikiwa ni utangulizi kabla ya ile shughuli yenyewe iliyofanyika jana jumamosi yta kukabidhi tuzo kwa washindi
Host wa cocktail hiyo walikuwa Gideon Okeke pamoja na Mghana Movie Star Joselyn Dumas
Waaliokuwepo ni pamoja na Rio Paul Froma Tanzania Rita Dominic,Funke Akindele,IK Ogbonna,Biola Alabi,Vimbai Mutinhiri, Denrele Edun, Celine Loader, Ugo Igbokwe, Ramsey Nouah, Rukky Sanda, Eku Edewor, Kessiana Edewor-Thorley, Ashionye Michelle Raccah Carl Raccah hao labda unaweza kuwatambua kama ni mfuatiliaji mzuri wa Niger Movies, ila na wengine wengi walikuwepo angalia picha kwa hisani ya Bella Naija
