Msanii wa Kenya lakini anaishi Nigeria akifanya muziki, akiwa ni mwanamuziki alianza kama utani wakati anaanza lakini kwa sasa she is that big and hitting all the radio and TVs waves in Afrika.
Hizi ni pocha zake 3 ambazo nimekutana nazo nikaona uzione pia….