Mwezi huu wa Ramadhani umekuwa ni mwezi wamafanikio mengi sana kwa watu mbalimbali kukutana na kupata Ftari pamoja, Jana Jumamosi 27/7 llikuwa ni wakati mzuri niliopata Iftar na wanachama wenzangu tunaounda JAMII YA kusaidiana katika shida na raha STRENGTH OF THE WOMAN.
Ahsante kwa waandaaji wa ftar hii Baba na Mama Mbegu’s Family, Jasmine Mbegu, Nasra Mbegu, Hidaya na wengine wote, kwakweli ftari ilikuwa taaam sana na tulifurahi
Tazama picha hapa baadhi ya wanachama wenzangu wa STRENGTH OF THE WOMAN
Junaithar Ni Rafiki wangu wa karibu sana
Nanaa na mimi
Bahati
Bahati na Nasra
Laura
Nanaa
Leah
Anna, Katibu
Farida
Jassmin
Nkinde
Rukia