Miss Tanzania aliyemaliza muda wake Brigitte Alfred akiwa na miss Uganda wakiwa uwanja wa ndege wa Doha Qatar katika safari yao ya kurejea nyumbani baada ya kuwakilisha nchi zao katika mashindano ya Dunia yaliofanyika katika kisiwa cha Bali nchini Indonesia ambapo mshindi aliibuka Mrembo kutoka ufilipino Megan Young huku Afrika ikishika nafasi ya tatu kwa mrembo kutoka Ghana na Brigitte akiambulia nafasi ya Tatu katika taji la beauty with purpose