Rais Kikwete awaapisha IGP Afande Ernest Mangu pamoja na naibu wake IGP Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya ikulu Jana
sherehe hiyo ambayo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu Wa Rais Dr. Mohamed Ghalibu Bilal, Mawaziri na katibu kiongozi Balozi Ombeni Sefue pia IGP aliyemaliza muda wake afande Said Mwema.
Hivi Ndivyo ilivyokuwa wakati wa sherehe Hizo
Rais Dr.Kikwete akiwa katika Picha Ya pamoja na IGP Afande Ernest Mangu pamoja na naibu wake IGP Afande Abdulrahman Kaniki mara Baada ya Kuwaapisha
Rais Kikwete Katika picha ya pamoja na IGP mstaafu Said Mwema mara baada ya kuwaapisha IGP Afande Ernest Mangu pamoja na naibu wake IGP Afande Abdulrahman Kaniki
Rais Kikwete akiwa pamoja na viongozi mbali mbali wa serekali katika Hafla Ya Kuwaapisha IGP Afande Ernest Mangu pamoja na naibu wake IGP Afande Abdulrahman Kaniki