Rais Wa Marekani Anayekaribia kumaliza muda wake Barak Obama Amejiunga katika mtandao wa kijamii wa Tweeter Rasmi jana May 18
Account Hii Ni ya kwake mwenyewe na anaimiliki na kui run mwenyewe sio ofisi wala ikulu, mara baada ya kujiunga ndani ya masaa matano tu alipata wafuasi (followers) Milioni Moja
Rais Obama alikuwa na Acoount ya jina lake @BarackObama lakini ilikuwa chini ya Jumuiya yake na tweet zilizokuwa zina twetiwa zilikuwa sio zake moja kwa moja. lakini hii ya sasa ni ya kwake mwenyewe
Na Hiki ndicho alichoanza nacho baada tu ya kujiunga