Binti huyu baada ya kupata mafanikio makubwa kimuziki kaamua ajaribu na kitu kingine, mapema wiki hii Rihanna amezindua mavazi yake rasmi katika onyeaho la mavazi la London fashion week, Naona bibie kaamua kufuata nyayo za kina Victoria Beckham na Madonna kwa kubuni ngua zake mwenyewe.
Katika uzinduzi huo rasmi Rihanna alionyesha nguo mbali mbali zenye rangi tofauti tofauti kama bra tops, dresses slashed to the thigh, tummy-baring tank tops – in off-reds, yellow, navy, black and other colours and materials included satin, jersey and denim.
Pia Binti huyu mrembo na mkali wa jukwaa na sauti amejaribu kunogesha nguo zake kwa mkono wake mwenyewe lakini pia kuchukua aina ya mitindo kutoka kwao barbados kama kuendeleza utamaduni wa kwao.
Hivi karibuni Babe Rihana alianza kupost aina ya Nguo zake kupitia mtandao wa kijamii wa instagram
Kujaribu inaruhusiwa.