
Jana kupitia post inayomuhusu Wema kuongeza Tatoo mwilini mwake niliandika kuwa zaidi ya Tattoo yenye maandishi ya kichina wema aliojichora lakini pia ameongeza Tattoo nyingine katika yenye jina lake. sasa sahihisho hapa ni Kweli wema ameongeza Tattoo ya mandishi ya kichina upande wa shingo wa mgongoni Na ile yenye jina la Wema ni Totoo aliochora Kajala kama shukrani kwa kile Wema alichomfanyia.
