Mahaba niuwe kama msemo wa watoto wa mujinii Mr &Mr Nsembo wakifanya Yao
Moja kati ya mwana mapinduzi wa Habari za mitindo mtandaoni kwa Tanzania Yetu, Shamim mwasha Mrs.Nsembo mmiliki wa blog ya 8020 Fashion Amesherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa Leo Tarehe 14 Jan akitimiza miaka 36
Hizi Ni Baadhi Ya Picha Tu
Baada ya kupata salamu nyingi za kumtakia sikukuu njema ya kuzaliwa kwa marafiki na wadau wake wa karibu mtandaoni baadae iliandaliwa Mstukizo Wa Chakula Cha usiku na Marafiki zake wa Karibu katika Hotel Ya Serena ya Jijini Dar
Pamoja na watu wengine waliokuwepo Shamim aliongozana Na mume wake Mr Nsembo, hata hivyo bibie alishindwa kujizuia akajikuta akibubujikwa na machozi kutokana na tukio lenyewe kuwa la kushtukiza na kujikuta akipata mlo huo na watu wake.
Machozi Ya Furaha
Flaviana Matata Akiwa na Lulu Kwenye Dinner ya Mshtukizo Ya Bibie Shamim
Shamim na Rafiki Kipensi Akifurahi
Adeline Mushi Rafiki Wa Karibu Wa Shamim Na Muigizaji Elizabeth Michael Lulu
Mbunifu wa Mavazi Eve kwenye mnuso wa Shamim
Happy Birthday Mrs N’sembo, Shamim Mwasha. Furahia Maisha Siku Zote.
Picha kutoka Instagram