
Rapper wa kike anayetokea Australia “Fancy” rapper Iggy Azalea ameongelea ngoma yake mpya kutoka katika albamu yake ya “Digital Diamond” Iggy Azalea kupitia ukurasa wake wa twitter akitoa taarifa juu ya albamu yake inayokuja ya “Digital Diamond” Wakati akijibu maswali kutoka mashabiki, anasema ngoma ya kwanza kutoka itaitwa “TEAM” ambayo aliielezea kwenye video. Anaandika “lead is TEAM,”. “meaning: ive got my own back, i iam my own team. 20% meaningful 70% bop 10% ratchet.” Azalea anasema production ya albamu “Digital Diamond” imeisha na imefanywa na group D.R.U.G.Z na anakwenda njia tofauti kwenye albamu hii zaidi ya 2014 ya “The New Classic” “time for some new vibes. we all did TNC to DEATH,” anaandika. “things are less “pop” on DD than TNC,” anasema kwenye post nyingine Iggy Azalea anasema kwamba ameshamaliza kurekodi albamu hiyo sasa anasubiria watu aliowashirikisha kufanya sauti na live instrumentals Hajataja tarehe ya kutoka albamu
hiyo ya “Digital Diamond”
