Hii ni picha ya kwanza ya mwanamke wa Ki sudani Aliyekuwa amehukumiwa kifo baada ya kuihasi dini yake Ya kiislam baada ya kuachiwa huru
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu June 23 baada ya Mahakama nchini sudan kuamuru kuachiwa huru
Meriam Ibrahim akiwa na nyuso ya furaha baada ya kunusurika kifo akiwa na Mume Wake Daniel Wani, Mtoto wake wa kiume mwenye miezi 21 Martin Ambaye alikuwa nae Gerezanin Mtoto wake aliyejifungua Gerezani Maya pamoja na wanasheria waliomsaidia
Mwanamke Huyo Meriam amehifadhiwa sehemu salama lakini kwa siri kwasababu ya usalama wake