“Don’t Bring Black People To My Games” ndio neno lililokaririwa kati ya yale aliyoyazungumza mmiliki huyu wa timu ya mpira wa kikapu ya L.A Clippers, Donald Starling kwa mpenzi wake V.Steviano Ambayo Yamevuja na amesikika akitoa maneno ya kibaguzi kwa Wamarekani Weusi
Tatizo hilo limeibuka baada ya mrembo huyo kuonekana akijihusisha Zaidi na wachezaji kikapu weusi huku akitupia tupi picha Instagram akiwa na jamii ya aina ya watu hao kitu kilichomkwaza Mpezi wake huyo aliyejikuta kwa Hasira labda mimi naweza sema na wivu akatoa maneno ambayo hakujua yanaweza kumletea athari ukizingatia pia hata timu yake inaundwa na wachezaji wengi tu weusi