
WAFAHAMU VIZURI WASHIRIKI WAPYA WA JUMBA LA BIG BROTHER AWAMU YA 8 LINALOKWENDA KWA JINA LA THE CHASE KATIKA PICHA MAJINA YAO NCHI WANAZOTOKA NA NYUMBA WALIZOINGIA..
KAMA MWAKA JANA HATA MWAKA JUZI MARA HII PIA KATIKA JUMBA LA BIG BROTHER LIMEGAWANYWA MARA MBILI AMBAPO KUNA DIAMOND HOUSE NA RUBIES HOUSE, BAADHI YA WASHIRIKI WAPO DIAMOND HOUSE NA WENGINE RUBIES HOUSE IKIWA HAIJALISHI MMETOKA NCHI MOJA AU LA BALI KWA MCHEZO WA KUPICK NUMBER KWA KWA KILA MSHIRIKI ALIEINGIA KUCHAGUA NAMBA YA MWENZIE WA KUINGIA NAE
KAMA TENA ILIVYOKUA KWA MWAKA JANA MARA HII KILA NCHI IMEINGIZA WASHINDANI WAWILI WAWILI KUTOKA KILA NCHI NA KURA ZA MTOANO ZIKIANZWA KUPIGWA LEO KWA AJILI YA JUMA LA KWANZA LA MTOANO WIKI IJAYO…
ENDELEA KUFUATILIA KUPITIA SALMAMSANGI.COM KWA UPDATE ZA BIG BROTHER KILA SIKU.
ONEAL/BOTSWANA/RUBIES HOUSE
DELISH/NAMIBIA/DIAMOND HOUSE
HAKEEM/ZIMBABWE/RUBIES HOUSE
BIGUESAS/ANGOLA/RUBIES HOUSE
NEYLL/ANGOLA/DIAMOND HOUSES
MOTAMMA/BOTSWANA/DIAMOND HOUSE
HUDDAH/KENYA/DIAMOND HOUSE
BIMP/ETHIOPHIA/DIAMOND HOUSE
ELIKEM/GHANA/DIAMOND HOUSE
SELLY/GHANA/DIAMOND HOUSE
ANNABEL/KENYA/DIAMOND HOUSE
BETTY/ETHIOPIA/DIAMOND HOUSE
FATIMA/MALAWI/DIAMOND HOUSE
NATASHA/MALAWI/RUBIES HOUSE
MARIA/NAMIBIA/RUBIES HOUSE
SULU/ZAMBIA/RUBIES HOUSE
CLEO/ZAMBIA/RUBIES HOUSE
LK4/UGANDA/RUBIES
FEZA/TANZANIA/DIAMOND HOUSE
DENZEL/UGANDA/DIAMOND HOUSE
NANDO/TANZANIA/DIAMOND HOUSE
KOKETSO/SOUTH AFRIKA/RUBIES
ANGELO/SOUTHAFRIKA/DIAMOND HOUSE
BASSEY/SIERRA LEONE/RUBIES
BEVERLY/NIGERIA/RUBIES
MELVIN/NIGERIA/RUBIES
