Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Two Face Idibia Amefariki Dunia siku ya jana Aug 23 baada ya kuugua muda mrefu maradhi Ya Cancer
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu mahala Pema Peponi.. Amen