
GQ pia wamewataja Outkast, Jay Z. J Dilla na Ghostface Killah kwenye list hiyo ambayo yuko Kanye West akishika namba 1 na “My Beautiful Dark Twisted Fantasy”.
Kanye West ndo mwenye albamu bora ya karne ya 21 walitangaza GQ na alabmu yake ya 2010 ya My Beautiful Dark Twisted Fantasy, GQ wamesema imeshinda kutokana na matokeo iliyokuwa nayo na jinsi ilivyoweza kumtengenezea njia Kanye na project zake nyingine zote.
Kanye West mpaka sasa anazo albamu 7 lakini katika albamu bora ya karne ya 21 ni “My Beautiful Dark Twisted Fantasy” na
List yote ya albamu 21 bora katika karne ya 21 ni:-
1. My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010)
Kanye West
2. Is This It (2001)
The Strokes
3. Stankonia (2000)
OutKast
4. Discovery (2001)
Daft Punk
5. Sound of Silver (2007)
LCD Soundsystem
6. Voodoo (2000)
D’Angelo
7. Channel Orange (2012)
Frank Ocean
8. Elephant (2003)
The White Stripes
Photo: Kevin Mazur/Getty Images
9. Futuresex/Lovesounds (2006)
Justin Timberlake
10. Supreme Clientele (2000)
Ghostface Killah
Photo: Jill Edelstein/Camera Press/Redux
11. Back to Black (2006)
Amy Winehouse
12. The Blueprint (2001)
Jay-Z
13. Sea Change (2002)
Beck
14. Let England Shake (2011)
PJ Harvey
Photo: Samir Hussein/Getty Images
15. We’re New Here (2011)
Gil Scott-Heron & Jamie xx
16. Fever to Tell (2003)
Yeah Yeah Yeahs
17. Modern Vampires of the City (2013)
Vampire Weekend
18. Beyoncé (2013)
Beyoncé
19. Donuts (2006)
J Dilla
20. Up the Bracket (2002)
The Libertines
21. Extraordinary Machine (2005)
Fiona Apple
