Kim Kardashian Aambiwa Na Madaktari Akipata Mimba Tena Anaweza Kufa
Kim Kardashian hakuficha kuhusu matatizo yake aliyopitia akiwa na mimba,akiwa anasumbuliwa na ugonjwa unaitwa placenta accrete,ikiwa ni hatari sana kwa maisha wakati ukiwa na mimba hata ukiwa hauna mimba. Tunaambiwa madaktari ilibaki kidogo apate accrete tena na kumuweka yeye mtoto katika hatari. Kim Kardashian na Kanye West mtoto wao waliempata… Read More →