Big Brother The Chase: Washiriki Fake walivyotolewa Ghafla, Nando ataka kuzipiga na Elikem

Washiriki Feki wakiwa Diary Room baada ya kustukizwa kuwa safari yao mdio imeishia hapo wakiwaaga washiriki halali kupitia Scree iliyopo living room Kutoka ndani ya nyumba ya Big Brother wiki hii moja kati ya matukio makubwa ni lile la washiriki feki kutlewa ghafla bila yeyote kutegemea kuanzia real house mate… Read More →