Rick Ross Afunguka Jinsi Atakavyomaliza Ugomvi Wake Na 50 Cent
Boss wa kundi la MMG Rick Ross anafunguka nini atafanya kwake ili kuleta amani kati yake na mshindani wake wa siku nyingi 50 Cent. Beef ya Rick Ross na 50 Cent imegonga tena vichwa vya habari baada ya wakali hao kupeana maneno makali kupiti instagram wiki iliyopita. Akiwa ameonekana kwenye… Read More →