Baada Ya Kutakwa Kurejeshe Pesa Za Wanachi Kwa Ukarabati Wa Nyumba, Rais Zuma Adai Halikuwa Pendekezo Lake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema hadhani ni sawa kurejesha fedha za umma zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafsi kwa sababu hakuwahi kutoa pendekezo hilo…. Bw. Zuma amesema haoni haja ya kuchangia pesa zake binafsi katia ukarabati wa nyumba hiyo kwani halikuwa pendekezo lake toka mwanzoni. Kadhalika bwana Zuma ameiambia… Read More →