Imethibitishwa,Malaysia Airline MH 370 Ilizama Baharini Na Hakuna Manusura

Shirika La ndege la malaysia limesema sasa linaweza kuthibitisha kuwa ndege yao iliyopotea MH 370 ilizama baharini na hakuna manusura Waziri Mkuu wa nchi Hiyo Najib razak Amesema wachunguzi wa uingereza wamesema mwisho wa eneo ndege hiyo ilipoishia ni kati kati ya bahari ya Hindi magharibi mwa perth Wanafamilia wa… Read More →