Aliyeshambulia Bus Tour La Lil Wayne Afungwa Jela Miaka 20

Jimmy Winfrey amehukumiwa kwenda jela kwa miaka 20 baada ya kukutwa na makosa ya kushambulia tour bus la Lil Wayne mwezi Aprili mwaka huu, taarifa kutoka Bossip zimeeleza. Makaratasi yaliyowakilishwa Desemba 18 zinasema Winfrey alikuwa akipinga hukumu hiyo, mwezi Novemba Winfrey alihukumiwa miaka 10 jela na miaka 10 chini ya… Read More →