Ni Baada Ya kuzuka kwa mjadala kuhusu kutozwa kodi kwa line za sim nchini, Ndipo Rais alipotoa Kauli kuwa wahusika walishughulikie, hatimae Raisi Amesain Hati Ya Dharura yakufanya marekebisho Kwenye mswada wa fedha ili kuondoa kodi hizo
Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri kuhusu kodi hii….
Kupita ukurasa wake wa facebook,Makamba ameposti huu ujumbe:
“Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax).
Asante Mheshimiwa Rais.”