
Jamaa mmoja aliyeonekana kuumia sana ameoa majivu ya aliyekuwa rafiki wake wa kike baada ya kuumizwa sana kifo cha mpenzi wake huyo. Jamaa huyo anafahamika kwa jina la Mr. Lai, alifanya harusi katika kijiji cha Hsinchu huko Taiwan, sambamba na sherehe ya kuaga akiwa na marafiki na familia. Alitaka kuonyesha ni jinsi gani alikuwa amejitoa kwa mwanamke huyo hata baada ya kufariki, machozi yalizidi kumtoka Mr. Lai wakati wa sherehe hiyo ikamfanya aingie kwenye gari nakuondoka jinsi alivyokuwa akiumia hakuamini kama mtu aliyempenda kwa moyo wake wote kama siku moja angeweza kutoweka.
Watu kama hawa mara nyingi wanahitaji uangalizi wa karibu kwasababu hujawa na huzuni muda mwingi, mawazo hivyo kupelekea msongo wa mawazo na hatimaye pia wao huchukua maamuzi mabaya ya kujiua kwa sababu huona hakuna faida ya kuishi, kwa sababu mawazo hugeuka
