Tazama Interview Ya Lady Ja Dee au unaweza kumuita Anakonda ikiwa ndio official AKA yake mpya akifunguka juu ya Tweet zake alizotweet hivi karibuni pamoja na manbo mengine.