Mkongwe katika mambo ya sinema duniani Jackie Chan ameelezea kushtushwa kwakwe na jinsi alivyovunjika moyo kuhusu taarifa za kukamatwa kwa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 31 Jaycee Chan, nyumbani kwakwe baada ya kukutwa na grams 100 za marijuana zilizogundulika
Jaycee mtoto wa Jack Chan
Polisi wamesema Jaycee hakuwa peke yake, kwani aliku ana kijana mwingine mmoja ambaye ni mcheza sinema mwenye asili ya taiwan Kai Ko mwenye umri wa miaka 23 ambapo baada ya kupimwa waligundulika wametumia madawa ya kulevya na wao kukiri kweli walitumia
Jackie, ambaye alikuwa ni balozi wa kukataza madawa ya kulevya huko china mwaka 2009 alitumia website yake leo kueleza hisia zake na kuomba radhi kwa uma juu ya tabia mbaya ya kijana wake aliyoinyonyesha kwa jamii
aliandika hivi:
“Regarding this issue with my son Jaycee, I feel very angry and very shocked. As a public figure, I’m very ashamed. As a father, I’m heartbroken. Jaycee and I together express our deep apology to society and the public’
“I hope all young people will learn a lesson from Jaycee and stay far from the harm of drugs. I say to Jaycee that you have to accept the consequences when you do something wrong. As your father, I’m going to face the road together with you.’
Kama atakutwa na hatia Jaycee anaweza kuhukumiwa miaka mitatu jela, Serekali ya china umeweka udhatiti katika swala la matumizi ya marijuana nchini humo tangu mwezi june na tangu kipindi hicho watu zaidi ya 7,800 wametiwa mbaroni kwa sala hilo