Wasanii wenzake wengi walimkataza mwana hip hop mkali Nikki Mbishi asiache muziki lakini yeye ameendelea kushikilia msimamo wake wa kuachana muziki.Nikki Mbishi amesema katika maisha kuna mambo mengi ya kufanya sio muziki tu, ila kilimo ndo amekipa kipaumbele. Wasanii waliojaribu kumshauri asiache muziki kwani watu bado wanahitaji muziki wake ni Songa na mkali Chid Benz lakini Nikki Mbishi ameendelea na msimamo wake wa
historia del viagra pfizer # how long viagra last # online cialis cheap # canada pharmacy courses # cialisfromindia-onlinerx.com
kuachana na muziki, ataendelea kussupport hip hop kwa wale ambao wanafanya hip hop na ngoma zake ambazo zilikuwa hazijatoka ataendelea kuziachia ila hatoingia tena studio kufanya ngoma mpya. Nikki Mbishi alisema anataka ajikite kwenye kilimo zaidi kwani muziki umekuwa hamlipi.