Mwanadada na pia ni msanii mwenye muenakano na umbo lililoumbika, msanii ambaye maisha yake ya muziki mwaka 2014 yalikuwa mazuri, mwanadada huyu kutoka nchini Kenya baada ya kuamua kufanya muziki Afrika magharibi ambapo aliachia ngoma kali ikiwa na lafudhi ya Kinigeria ambayo amesababishwa na marafiki zake na mshabiki kufanya hivyo.
Mwanadada huyu alishafanya ngoma inayoitwa Prokoto akiwa na Diamond na Ommy Dimpoz na mwishoni mwa mwaka jana aliachia shiw videos ambazo zinafanya fresh sana kwenye charts kibao.
Licha ya hapo akaona haitoshi ni kupiga kazi hakuna kuremba, Victoria Kimani ameshafanya video ya wimbo unaitwa Ooh la la oui oui ngoma amabyo ameshirikiana na Yvonne Darcq mwiahoni mwa mwaka jana 2014.
Kimani ameweka wazi kwamba video hiyo inamaliziwa na akaonyesha picha za wakati wa utengenezaji wa video hiyo ambayo itatoka mwaka huu. Na alipost akaandika Ooh lala oui oui hili ni jina la wimbo mpya kutoka kwa Kimani. Tusubiri tuone yaliyomo yamo.
Victoria Kimani Apanga Kuanza Mwaka 2015 Kwa Kufanya Kazi Za Hatari
Related Posts
-
-
Kiatu Cha Gharama Cha Lady Jay Dee Kilivyogeuka Gumzo baada ya Kumdondosha Stejini
-
Rumors Has It Kwamba Future Anatoka Na Blac Chyna! Je Baada Ya Kuona Hii Video Unasemaje?
-
ALL STARS WEEK END LIVE
-
After Party Lady in Red Ya Asia Idarious Yafana Nyumbani Lounge
-
Studio Za Combination Sound Zapandisha Gharama Za Kurekodi
-
Red Carpet: Tuzo Za Watu