Haya Ndio Mafanikio Ya Muziki Wa kizaki kipya, Bongo Flava inalipa hasaaa,
Haya nayo ni mafanikio mengine kutoka kwa msanii mwingine
Huku wengine wakionyesha Magari ya kila Aina wanayomiliki kutokana na muziki huo
wengine wakionyesha majumba na hata bishara zao sisi kwetu tote haya tunayaita mafanikio mazuri
Huu nao ndio mjengo wa msanii Barnabas wa kundi la JEMINAI linaloundwa na Barnabas pamoja na Amini
Ameshare picha hii kupitia ukurasa wake wa picha wa INSTAGRAM bila Kuandika chochote… Maana yake
KIMYA NI JIBU