Baada Kim Kardashian kwenda kwa Kanye West, na mpenzi wake wa zamani Reggie Bush alikwenda kwa Lilit Avagyan.
Wote sasa hivi wamepata watoto wa kike na watu wamekuwa wakiwa na hofu kwa jinsi watoto hao walivyofanana, sana sana North wa Kanye na mtoto w Reggie Briseis.
Ukiwaangalia watoto wao wamefanana sana, labda siku moja Kanye West katika pita pita alikumbushiana na X wake Reggie, Pia Kanye West anapenda wasichana wenye muonekano kama wa Reggie na Kim K wazi kabisa huo ndo ugonjwa wake, Kim K na Reggie ukiwatazama wamefanana kiukweli.
North na Briseis wanafanana sana angalia picha pamoja na za familia zao zinavyofanana.