Video Ya Mwana Wimbo Wa Ali Kiba Wafanya Vizuri Kimataifa
Video ya Ali Kiba iliyotangazwa kutambulishwa nchi tofauti duniani inaendelea kupata muda wa hewani kwenye vituo vikubwa duniani, Hii ni ushahidikuwa mpaka sasa inachezwa kwenye vituo vya sound city vya Nigeria na Ghana na Channel 10 ya Uingereza. Baada ya kukaa kimya takribani miaka 3 mfululizo huku akiwafanya mashabiki kuwa... Read More →