Mkali Wa Hi Hop Nikki Mbishi Baada Ya Kutangaza Kuacha Muziki Asema Anaenda Kufanya Kilimo
Wasanii wenzake wengi walimkataza mwana hip hop mkali Nikki Mbishi asiache muziki lakini yeye ameendelea kushikilia msimamo wake wa kuachana muziki.Nikki Mbishi amesema katika maisha kuna mambo mengi ya kufanya sio muziki tu, ila kilimo ndo amekipa kipaumbele. Wasanii waliojaribu kumshauri asiache muziki kwani watu bado wanahitaji muziki wake ni... Read More →