Picha:Baada Ya Lile Sakata La Mwanamke Kuvuliwa Nguo Kituo Cha basi Nchini Kenya Kwa Madai Ya Kuvaa Nusu Uchi, Wanawake Wanchi Hiyo Waandamana Kupinga Kitendo Hicho Kwa Kauli Mbiu Ya “My Dress My Choice”
Tazama Picha Za Maandamano Ya Wanawake wa nchini kenya walioahidi kuandamana leo hii baada ya mwanamke mmoja kuvuliwa nguo kwa madaya ya kuwa amevaa nusu uchi katikana kituo cha kuegeshea magari cha Uhuru Park pamoja Na wananchi wa kawaida lakini pia kulikua na viongozi waliojitokeza Story Iliyoripotiwa na Bbc Ya... Read More →
