
“Mkongwe huyu ananipenda jinsi nilivyo” Hayo ni maneno Ya Mwanamuziki Rihanna kupitia ukurasa wake wa Instagram Ambapo Kutwa nzima ya jana Rihanna alikuwa akipost Picha zake akiwa mtupu mbele ya Hadhara Huku Babu yake Mzaa mama Akishuhudia.
Kumbuka kwako ikiwa haram kwa mwenzako Halali, waweza sema Laana Rihanna kumwaga Radhi akiwa nusu mtupu kabisa mbele ya babu yake lakini hapana kwao wao ni mila na desturi zao ambapo kila mwaka huko Rihanna anapotokea katika kisiwa cha Babados kila mwaka kunakuwa na sherehe za kimila ambazo wananchi wa huko hucjheza wakiwa wamevalia nusu utupu kama aonekanavyo Rihanna na Wenzie katika picha, sherehe hizo huwa zinatambilika kwa jina la CROP OVER 2013
Mwaka jana Binti huyo anayekubalika zaidi na mwenye ushawishi Duniani kupitia sanaa yake ya uimbaji pia alishiriki tamasha hili, Rihanna amekuwa mpenzi wa kukaa nusu mtupu mara kwa mara sio tu kwenye tamasha hilo hata katika maisha yake ya kawaida
Nadhani ameshajitambua kuwa umbo lake ni lakuvutia na hana sababu ya kulificha
kavae wewe na manyama uzembe yako hahahhahah…….mnanuna nini ndio muende Gym na muache mikorogo inawaharibuuu,, hebu mfaidi hapa katika picha utamani kuwa kama yeye lol
Tazama Picha Hapa
Rihanna akiwa Na Babu yake, Liandika kupitia ukurasa wake wa Instagram ‘MKONGWE HUYU ANANIPENDA VILE NILIVYO

1 Comment
Haya anayejiata mtanzania huyo anasifia kukaa uchi sasa vaa ww si mwembamba. Umbeya tu huna jipya ukorogo na unene Kwani kwenu hakuna