Channel ya Lifetime imetangaza tarehe ya kuonyeshwa “Aaliyah: Princess of R&B”
Princes of R&B kwa mara ya kwanza itaonyeshwa Novemba 15 kutokana na tweet ambayo imekuwa tweeted na account ambayo imethibitishwa (verified) ya Channel hiyo.
Alexander Shipp ataonekana kama Aaliyah ambaye alikufa kwa ajali ya ndege mwaka 2001.
Chattrisse Dolabaille na Izaak Smith wamepangwa kucheza kama Miss Elliott na Timbaland.
Filamu hiyo ambayo imepangwa kuonyesha kuolewa kwa Aaliyah na R.Kelly imeripotiwa imebase kwenye kitabu cha Christopher Farley Aaliyah More Than A Woman.
Hii ndo tweet iliyotweetiwa na Channel ya Lifetime ilisema
“She was the princess of R&B and now her story is being told. #AaliyahMovie premieres Saturday, November 15”