Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa rasimu ya pili ya katiba mpya na mwenyekiti wa tume ya katiba Jaji Warioba.
Rasimu hii ina ibara 271 ambayo ni ndefu kuliko ili ya mara ya kwanza ambayo alikuwa na ibara 250.