Mkali Snoop Dog a.k.a Snoopy Dog ameamua kutoa maoni yake na kuikosoa Billboard kutokana na list ya rappers 10 wakali wa muda wote,Snoopy ameona sio sawa kwa kuacha jina la Tupac,list hiyo ipo kama hivi kutokana na Billboard…..