
Leo ndio siku Malkia wa kinondoni atapatikana Pale katika Hotel ya kimataifa Golden Tulip ya Jijini Dar Es Salaam. Warembo 12 watachuana kumpata Kinara Mmoja atakaewakilisha Katika mashindano ya Miss Tanzania na wengine wawili watakao ingia top three kupata Ticket ya kushiriki mashindano hayo ya kimataifa.
Tanzanite Band watatoa burudani katika kusindikiza mashindano hayo huku kukiwa na burudani kali toka kwa DJ TASS KUTOKA MAGIC FM ATAFANYA MIXING YA AJABU KATIKA KUWARUSHA WAGENI WAALIKWA.
Tazama videoi ya warembo watakao shiriki Miss Kinondoni Leo Jioni
